Friday, August 5, 2016

KARIBUNI KWENYE BLOG MPYA YA UMOJA WA WAKUU WA SHULE TANZANIA(TAHOSSA) WILAYA YA SAME

Blog hii bado ipo kwenye matengenezo (under construction) itahusu mambo yafuatayo:

1. habari mbalimbali zinazohusu umoja huu na maswala ya kitaaluma
2. Matokeo  ya mitihani mbalimbali ndani ya wilaya
3. Taarifa za vikao (minutes) haitakuwa na ulazima wa kusoma taarifa siku ya kikao wajumbe watakuwa wameshasoma kwenye mtandao na tukifika kwenye kikao ni kujadili yatokanayo na kujadili taarifa mbalimbali ili kuokoa muda pamoja na kupata hoja zenye mashiko kwa mustakabali wa maendeleo ya kitaaluma ndani ya wilaya yetu
4. kwa kibali maalumu tutakuwa tunaweka nyaraka mbalimbali ili iwe rahisi mkuu wa shule kuipata
5. kutakuwa na personal profiles za wakuu wa shule ili iwe rahisi ku huisha taarifa
6. kutakuwa na column ya matangazo ya biashara zinazohusu elimu tuu.


BLOG HII NI MALI YA TAHOSSA SAME.
HIVYO NAHITAJI WAKUU WA SHULE WANNE(4) AMBAO WATAKUWA WANAIENDELEZA (DEVELOPERS) KILA INAPOPATIKANA TAARIFA.

KAMA UPO TAYARI NITAFUTE KWA 0758 41 41 95.


Imetolewa na:
TAHOSSA SAME (W)